Ezekiel 27:6

6 aWalichukua mialoni toka Bashani
wakakutengenezea makasia yako;
kwa miti ya msanduku
kutoka pwani ya Kitimu
wakatengeneza sitaha
Yaani sakafu ya merikebu au mashua.
yako
na kuipamba kwa pembe za ndovu.
Copyright information for SwhNEN